Monday, October 10, 2016

Exclusive:Chukua Deal kutoka Sampamba Music Group (SMG)


je wewe ni msanii na hauna pesa ya kurekodia ?
kama unakipaji cha kuimba na kutunga Sampamba Music inakupa nafasi wewe [msanii au muimbaji] kukusaidia kurecord bule kabisa na utakuwa chini ya usimamizi wa Sampamba music.

wahi sasa kupata form kwaajili ya kupata maelekezo nini cha kufanya.
kumbuka ni kwa waimbaji wa kidunia [bongo flava] na Gospel,usichelewe ili upane nafasi hii ya ndoto yako,na haijalishi wewe unauwezo wa kifedha au hauna tunachokiangalia toka kwako ni kipaji chako,,,Ili upate form piga sim no 0716469630 au 0763231052
Sampamba music tunatambua umuhimu wa kipaji chako!
Kipaji chako ndio mafanikio yako...Usiogope amua sasa!

No comments: