Diamond amekuletea behind the scene za video yake mpya ya ‘Salome’
Kwenye Behind the scene Diamond anaelezea ilikuaje hadi akaamua kuurudia wimbo wa ‘Chambua kama karanga’ wa Saida karoli, kumshirikisha Ray Vanny na changamoto zilizojitokeza wakati wa kushoot video.
Video ya wimbo huo hadi sasa imetazamwa zaidi ya mara Million 4 kwenye mtandao wa Youtube.
No comments:
Post a Comment