Nemy Mc Ft Mkwawa & Naomy - Mtoto wa Town (Official Music Video)
Nemy Mc ni msanii tokea Nyanda za juu kusini mkoani Iringa Hapa amewapa ushilikiano wasanii wawili ambao ni mkwawa na Naomy pia audio ya hichi kichupa itatoka rasmi siku ya jumatatu ya tarehe 3/10, Producer aliyepika audio anaitwa Froliz chini ya Studio za Play Records Mkoani Iringa,Thanks Tigo tanzania kwa kutusogezea hichi kichupa.
No comments:
Post a Comment