Ni Headlines za Rapper Nick Minaj ambae October 15, 2019 amefunguka kwenye kwenye kipindi cha Entertaiment Tonight’ kuhusu ujio wa collabo mpya na Adele.
Staa huyo aliweka wazi kuwa ana kazi ambayo amefanya na Hitmaker wa ngoma ‘Hello’ ila uongozi wa Adele umemkataza kuizungumzia collabo hiyo.
Adele ni shabiki mkubwa wa Rapper Nick Minaj na ameshawahi kuzungumzia uwezekano wa collaboration.
Adele ni shabiki mkubwa wa Rapper Nick Minaj na ameshawahi kuzungumzia uwezekano wa collaboration.
No comments:
Post a Comment