Monday, February 17, 2020

”Makonda azirudishe hizi fedha, Kama ni kweli alitumia fedha za TASAF, lazima azirudishe,” – Rais Magufuli (+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda kuzirudisha fedha za TASAF vibaya kwa safari ya kwenda Dodoma ili hali sio Masikini.

No comments: