Tuesday, February 18, 2020

Wafanyabishara wa soko la Tegeta Nyuki waeleza jinsi ajali ya moto ilivyowarudisha nyuma (Video)

Wafanyabishara wa soko la Tegeta Nyuki jijini Dar es salaam wamefunguka kuzungumzia ajali ya moto ilivyowarudisha nyuka kimaisha, ambapo mmoja wao ambaye amedai yeye taarifa za kuungua kwa soko hilo amezipata baada ya kufika kazini kwake asubuhi ya leo amedai biashara yake iliyoteketea kwa moto huo ilikuwa na thamani ya tsh milioni 30.

No comments: