Thursday, February 19, 2015

Baba levo kaamua kuyazungumzia magari ya mastaa wa bongo, Roma, Msechu, Izzo B, Wema na wengine

Baba Levo ni msanii ambaye utani wake umeanza kumpa nafasi ya kusikika kwenye show ya AMPLIFAYA CloudsFM kuanzia saa moja kamili usiku mpaka saa tatu usiku Jumatatu hadi Ijumaa ambapo Feb 18 ametusogezea hii kuhusu mastaa wa bongo na magari yao.
Blevo
Msikilize kwa kubonyeza play hapa chini…..

No comments: