Hii ni segment ambayo hurushwa kwenye kipindi cha The Splash
cha Ebony FM iliyopo Iringa,Mtangazaji wa segment hiyo ni Renatus Kiluvia aka Bizzo.
HOT STORIES HEADLINES...!!
* Gucci Mane atakiwa kumlipa mwanamke aliyemsukuma nje
ya gari ikiwa katika mwendo $ 60,000.
* Baada ya heavy perfomance kwenye 2012 Mtv's Vma..Lil
Wayne aangusha party matata ya uzinduzi wa Headphones zake (Beat Pro)
*DMX aachia documentary kama promotion ya albam yake
mpya itakayodondoka kitaa rasmi kesho.
No comments:
Post a Comment