Tuesday, November 18, 2014

P SQUARE WAACHIA VIDEO YA SHEKINI ITAZAME HAPA

Waimbaji mapacha kutoka Nigeria P square jana wameachia video ya wimbo wao wa Shekini kama sehem ya kusherehekea mwaka mmoja wa ndoa ya Peter na Lola mapema hapo jana

Shekini ni video ya pili kutoka kwenye albam yao ya sita ya Double trouble


Video ya wimbo huo imeongozwa na Clarence Peters wakati audio imeandaliwa na Vtek

No comments: