AUNT EZEKIEL AFUNGUKA KUHUSU MZAZI MWENZIE >>>>>>>>>>
Staa wa Bongo Movies, aunt
Ezekiel amaeamua kuatoboa kuhusu baba mtoto wake Moses Iyobo kwa kudai
kuwa ndiye baba halisi wa mwanae na anampenda kwa dhati todauti na
baadhi ya watu wanavyomtafsiri kuwa yeye ni mpenda hela! Aunt aliyaongea
hayo katika mahojianao maalumu na kusema kuwa kama kuna watu
wanaomtafsiri kama yeye ni mpenda hela na hawezi kujkaa na Iyobo
kiatendo ambacho sio cha kweli katika moyo wake kwani anachohitaji
kutoka kwa Iyobo ni mapenzi tu. “Nataka ni weke wazi kuwa nimejianda na
nimejipanga kuishi na Iyobo au baba cookie kwa sababu ambazo najizua
mimi na sikushawishiwa na mtu mataka watu waanze kunifuatilia kuhusu
mapenzi haya naamini mapenzi
yangu yako kwake kama ilivyo kwa mtu
mwingine,” alisema Aunt Aliendelea kuongeza kuwa unaweza kuwa na mpenzi
mwenye pesa lakinI maudhi ya kila siku katika maisha yakawa mengi jambo
ambalo linaondoa raha kabisa ‘ Ili mradi mpenzi wangu anahele ya kukidhi
shida zetu haijalishi watu wanasema nini, ninachotaka ni mapenzi ya
dhati tu kutoka kwetu hayo mengine waache watu waongee mpaka wachoke,”
alisema Aunt. Hata hivyo Aunt aliesema kuwa hata mimba yake haikuingia
kwa bahati mbaya bali iliingia kwa makusudi ndio maana hakuwa na presha
katika makuzi ya mimba hiyo. Kama hiyo haitoshi Aunt aliongeza kuwa
anajua kuwa Iyobo alikuwa na mwanamke aliezaa naye lakini sio mkeo sasa
kama kuna mtu anadai amechukua mume wa mtu ajue kuwa nay eye ni mke wa
mtu vilevile. “Sijaiba mume wa mtu Iyobo hajaoa jamani tuacheni tufanye
yetu naamini kila kitu kinaendelea maisha nalea mwanangu bila ya
matatizo na sihitaji bifu na mtu,” aliweka wazi Aunt.
No comments:
Post a Comment