Jamaa anaitwa Jaji Mc kwenye harakati za muziki kitambo sana amezianza, juzi kati nilipiga nae story akanambia alisimama kufanya muziki takribani miaka minne coz kunanyimbo alishawai kuitoa then ikapotelea juu juu kifupi ilikosa nguvu promo wengi wetu ndo tunafahama kiivi, uyu jamaa ni moja kati ya wasanii waliofanikiwa kuingia Rebo ya Mandai Record, jamaa kama jina sio geni kwako ususani mfuatiliaji wa Harakati za muziki unaofanywa na wasanii wetu hapa Tz, jamaa alishawai kufanya Heat na msanii Ney Wa Mitego miaka ya nyuma kidogo, Sasa amerudi na kuachia Truck inaitwa Misele ya Shetani ameifanyia pale pale studio za Mandai Records, Shuka chini kidogo uipakue na kuisikiliza Bure.

No comments:
Post a Comment