Thursday, June 25, 2015

New Audio: Takshi Fleva - Overtime

Ni production mpya tokea pande za Ukonga Mongolandege studio ziko kisasa zaidi,Kilichonishangaza zaidi na kuonakama wametisha vile awa jamaa wana Video Production na Audio apoapo kiasi kwamba msanii utakapo record  Audio yako haupati shida ya kutafuta ni wapi utafanyia video yako, ok ishue ya msingi shuka chini na usikilize pia ukitaka unaweza ku Download Bure nyimbo mpya yenye miondoko flani ya kubembeleza Malavi davi tunaita, uyu msanii Taksh Flava yupo Rebo ya Mandai Records.

No comments: