Thursday, July 16, 2015

Aunty Ezekiel na Wema Sepetu Wana Beef Tena??? >>>>>>

 Marafiki Hawa walitikisa vichwa vya watu baada ya kutokuwa katika maelewano mazuri na kusuluhishwa, ila hivi karibuni Aunty Ezekiel na Wema Sepetu wanadaiwa kuwa na beef tena ambalo halijawekwa wazi.Kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa tangu Aunty Ezekiel, amejifungua Wema, hajawahi  Aunty Ezekiel na Wema Sepetu Wana Beef Tena??? >>>>>> Marafiki Hawa walitikisa vichwa vya watu baada ya kutokuwa katika maelewano mazuri na kusuluhishwa, ila hivi karibuni  Aunty Ezekiel na Wema Sepetu  wanadaiwa kuwa na beef tena ambalo halijawekwa wazi.Kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa tangu Aunty Ezekiel, amejifungua Wema, hajawahi kwenda kumjulia hali wala kumuona mtoto zaidi ya kuwasiliana kupitia simu jambo ambalo linatafsiriwa kuwa marafiki wa dhati hawawezi kufanyiana hivyo.Inadaiwa kuwa hata 40 ya mtoto wa msanii mwenzake Wema, hakuhudhuria ingawa inadaiwa kuwa taarifa alipewa mapema jambo ambalo limezua sintofahamu miongozi mwa wasanii wenzake waliohudhuria sherehe hiyo.Kwa mujibu wa Aunty, amedai kuwa ni kweli alimpa taarifa rafiki yake kuhusu sherehe ya mtoto wake na hakufika, na kusema kuwa huenda amebanwa na majukumu ya kikazi hususan mchakato wake wa kuingia kwenye siasakwenda kumjulia hali wala kumuona mtoto zaidi ya kuwasiliana kupitia simu jambo ambalo linatafsiriwa kuwa marafiki wa dhati hawawezi kufanyiana hivyo.Inadaiwa kuwa hata 40 ya mtoto wa msanii mwenzake Wema, hakuhudhuria ingawa inadaiwa kuwa taarifa alipewa mapema jambo ambalo limezua sintofahamu miongozi mwa wasanii wenzake waliohudhuria sherehe hiyo.Kwa mujibu wa Aunty, amedai kuwa ni kweli alimpa taarifa rafiki yake kuhusu sherehe ya mtoto wake na hakufika, na kusema kuwa huenda amebanwa na majukumu ya kikazi hususan mchakato wake wa kuingia kwenye siasa.

No comments: