Msanii Mkali wa Humu Nchini Jua Cali
amekanusha uvumi kuwa anataka kuanza kufanya muziki wa Gospel. Msanii
huyo toka Calif Records ambaye sasa Hivi anafanya Vizuri Na Wimbo Wake
'Karibu Nairobi'

Alizushiwa na Baadhi Ya Vyombo Vya habari kuwa ameanza
kuandika na kurekodi kazi za injili ukipenda Gospel Music kwenye studio
tofauti Humu Nchini. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Jua Cali aliandika
“Hii stori ati nataka kufanya Gospel ni Uongo, dont believe everything
you read, Ngeli bado ni ya Genge"
No comments:
Post a Comment