Eti Mpenzi wa Linnah Kajichora Tattoo Ya Linah?? >>>>>>
Soudy Brown
kazungumza na Linnah Sanga kuhusu mpenzi wake wa sasa ambaye amejichora
Tattoo, mweyewe amesema mpaka sasa wana muda wa mwezi mmoja tangu
wajuane na alichora Tattoo hiyo ikiwa
ni wiki mbili tu tangu wajuane.
Linnah amesema kwa mara ya kwanza walikutana kwenye mgahawa wa Newscafe
akiwa na Mboni Masimba na wakabadilisha namba na kuanza kuwasiliana.
Anasema baada ya kugundua amechorwa Tattoo yake alijisikia furaha kwa
kuwa kitendo cha mtu kujichora Tattoo ya mtu mwingine ni maamuzi magumu
sana na inaonyesha mapenzi ya kweli kwa kuwa ilikua ni wiki mbili tu
tangu wafahamiane.
No comments:
Post a Comment