
Wasanii Wawili Magwiji Afrika Mashariki NAMELESS na BENPOL ambaye sasa Hivi Anafanya Vizuri na Wimbo Wake 'Sophia' Wamefanya Project Ya Pamoja. Kazi Hiyo Ambae imetayarishwa na Producer Mkali @dr_sappy ambaye amerecord hits kadhaa kama 'Badder Than Most' ya @redsanmusic, 'XO' ya @joh_makini na @gnakowarawara miongoni mwa Hits zingine kibao inatarajiwa Kuachiwa Rasmi Hivi Karibuni.
No comments:
Post a Comment