Tuesday, July 7, 2015

Nay Wa Mitego Aongelea Diamond na Ali Kiba,Tusilete Yanga na Simba kwenye taifa stars >>>>>>>

 
 Msanii wa bongo fleva Nay Wa Mitego ameongelea timu za mitandao ni zinazofanya kampeni ya kushusha na kupandisha wasanii bila kujali kuwa wanaipotezea nchi tuzo kubwa za muziki. Ney wa Mitego alisema “Timu zibaki Tanzania , ila Ali kiba na Diamond wa kiwa nje ya nchi tuwape ushirikiano kama wasanii wa Tanzania nzima sio ushabiki wa mmoja, nikama Taifa Stars ikicheza nje alafu unaleta Uyanga na Simba, hawa ni timu ya taifa “

No comments: