Wednesday, July 8, 2015

WATOTO’ Wa Diamond Platnumz Warudishwa Shuleni >>>>>>>>>

Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Flava, Nasibu Abdul ukipenda ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha
 ‘WATOTO’ Wa Diamond Platnumz ( @diamondplatnumz ) Warudishwa Shuleni >>>>>>>>> Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Flava, Nasibu Abdul ukipenda ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar er Salaam Hatimaye Wamerudi Shuleni. Hii inakuja Siku Chache Baada Ya Mwanamuziki Huyo Kurejea toka Nchini Nigeria alipokuwa ameenda Media Tour Ku promote Wimbo Wake Mpya 'Nana' Pamoja na Single Mpya ambayo ameshirikishwa na Msanii wa Nigeria KCEE #LoveBoat.  By @sameerbry
katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar er Salaam Hatimaye Wamerudi Shuleni. Hii inakuja Siku Chache Baada Ya Mwanamuziki Huyo Kurejea toka Nchini Nigeria alipokuwa ameenda Media Tour Ku promote Wimbo Wake Mpya 'Nana' Pamoja na Single Mpya ambayo ameshirikishwa na Msanii wa Nigeria KCEE #LoveBoat

No comments: