
Ommy Dimpoz amefunguka kupitia Friday Nite
Live wiki iliyopita kuwa hana tatizo na Ali kiba na kwamba ata yeye
alivyokuwa na show zake Zanzibar, Ali Kiba alifahamisha mashabiki wake
kupitia instagram na alifanya hivyo bila kuombwa. Ali Kiba ndio msanii
aliyefanya wimbo wa kwanza wa Ommy Dimpoz ‘Nai Nai’ na kumpa ushirikiano
mkubwa mpaka kusababisha wimbo kuwa mkubwa Tanzania.
No comments:
Post a Comment