Thursday, July 2, 2015

Young Dee: Napenda ‘tattoo’ ndo starehe yangu mashabiki mniache mwili ni wangu >>>>>>

Msanii wa Hip Hop Bongo,Young Dee amewafungukia mashabiki waliomshambulia kwenye akaunti ya Instagram baada ya kupost picha aliyojichora tattoo ya sita kwenye miguu yake Akiongea na Clouds FM,  Young Dee: Napenda ‘tattoo’ ndo starehe yangu mashabiki mniache mwili ni wangu >>>>>> Msanii wa Hip Hop Bongo,Young Dee amewafungukia mashabiki waliomshambulia kwenye akaunti ya Instagram baada ya kupost picha aliyojichora tattoo ya sita kwenye miguu yake Akiongea na Clouds FM, alisema kuwa ameamua mwenyewe kuchora tattoo kwani ni mapenzi yake na pia amechora kwenye mwili wake hivyo hao mashabiki wamuache na maisha yake. ‘’Hii ni tattoo yangu ya sita tangu nianze kuchora kwenye mwili wangu,na pia kwangu ni burudani kuchora tattoo,hivyo mashabiki naomba waniache’,alisema Young Dee.  By @sameerbryalisema kuwa ameamua mwenyewe kuchora tattoo kwani ni mapenzi yake na pia amechora kwenye mwili wake hivyo hao mashabiki wamuache na maisha yake. ‘’Hii ni tattoo yangu ya sita tangu nianze kuchora kwenye mwili wangu,na pia kwangu ni burudani kuchora tattoo,hivyo mashabiki naomba waniache’,alisema Young Dee.

No comments: