Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo zingine Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards’ (AELA)
Diamond Platnumz
a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine
za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’.
Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of
The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa,
R2bees pamoja na 2face.
Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best
collabolation’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikia Flavour. Katika
kipengele hiki wasanii anaowshindana nao ni Wizkid (Ojuelegba) ft Drake,
Flavour (Sexy Rosey) ft Psquare, Davido (Fans Mi) ft Meek Mill,
Sarkordie (New Guy) ft. Ace, Dbanj (Feeling The Nigga) ft. Akon, Kiss
Daniel (Woju Remix) Ft Davido, Tiwa savage, Skepta, Harrysong (Reggae
blues) ft. Olamide, Kcee,Orezi,Iyanya, Patoranking (My Woman) ft Wande
coal. Tuzo za AELA zitatolewa Novemba 11, 2015 jijini Lagos, Nigeria.
Waweza Kumpigia Kura.
No comments:
Post a Comment