kwa zile Tshirt zenye Swagg za kiafrica michoro inayocholwa kwa mikono kiutundu zaidi tumbukia hapa
vijana wako vizuri katika tasnia ya uchoraji pia kama unakazi zako unakaribishwa kucholewa mabango ya kila aina au ku printiwa tshirt zenye muonekano mzuri zaidi wanapatikana pande za ukonga dar es salaam pia unaweza kuwapata kupitia namba yao ya simu hii +255719381563, pia wewe mfanya biashara unakaribiswa kutangaza nasi kwa bei poa kabisa tupigie simu +255657119760
No comments:
Post a Comment