DULLY SYKES Hana Chama? Haya ndo Maneno yake kuhusu mambo ya siasa
Mmoja ya Mastaa waliothibitisha kwamba
hawako tayari kujihusisha na masuala ya Wanasiasa kwa sasa ni Mkongwe wa
Bongo Fleva, Dully Sykes. Msanii Dully Sykes kupitia Instagram,
ameandika haya kuhusu yeye na kinachoendelea kwenye Siasa Tanzania
>>
‘KIUKWELI WACHA NISEME KITU AMBACHO MIMI BINAFSI KINANIKERA
KWENYE HAYA MAMBO YA SIASA…..MIMI BINAFSI SIPO KWENYE CHAMA CHOCHOTE NA
WALA SIHITAJI KUJIINGIZA TENA. INANISHANGAZA WATU WANAVOTUMIA FURSA YA
KUWATUKANA HAWA WAGOMBEA NA KUWADHALILISHA KWENYE MITANDAO WANASAHAU KUA
WANGEWEZA KUA BABA ZAO HUKO MAJUMBANI MWAO…..AU PIA WANASAHAU KWAMBA
KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI. TUJIFUNZE UTAMADUNI WA KWETU. #KAMA_NTAKUKERA_NICHUKIE#naongezea– NIMEONGEA HAYA KWA NIABA YA WAGOMBEA WOTE. TUWACHUKULIE KAMA WAZEE WETU’ BABA ZETU….#sijashawishiwaNAmtu#mfagilie_MGOMBEAwa >>>
No comments:
Post a Comment