Friday, September 25, 2015

Drake afungua mgahawa Toronto, Canada

 Rapper Drake ambaye ametajwa kushika namba tatu kwenye orodha ya wasanii wa HipHop waliotengeneza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2015, amefungua mgahawa mahali alipozaliwa Toronto nchini Canada.
Photography by George Pimentel
 Drake akiwa na Chef Susur Lee siku ya uzinduzi wa mgahawa huo.
Mgahawa huo umepewa jina la ‘Frings’ na ameshirikiana na chef maarufu zaidi Canada anayejulikana kwa jina la chef Susur Lee.
Miezi michache iliyopita, Dj Khaled alifungua pia mgahawa wake huko Miami, unaitwa ‘Finga Linking’
Credit:TeamTz.com

No comments: