
Rapper na Producer nguli wa muziki wa Marekani, Swizz Beatz amepost video kwenye mtandao wa Instagram akicheza nyimbo za Diamond Platnumz yeye pamoja na mtoto wake.
Mara ya kwanza aliweka video ikimuonesha mtoto wake akicheza ‘Nana’ na baadae akaweka video nyingine akicheza ‘Nataka kulewa’
Kitendo icho ambacho kimepokelewa vizuri na mashabiki wa muziki wa Tanzania, ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa mziki wa Tanzania ‘Bongo Fleva’ unaendelea kukua zaidi na unaendelea kupata wasikilizaji wapya.
Mchezaji wa Manchester City Wilfred Bony aliwahi pia kuweka video akicheza wimbo wa Daimond.
Credit:Teamtz.com
No comments:
Post a Comment