kwa mujibu wa picha walioweka kwenye mtandao wa Instagram wamesema walipata nafasi ya kuzungumza machache na Jay z hasa kuhusu muziki na biashara japo hawajaweka wazi kwa undani kuhusiana na hilo. Pia waliweka wazi mpango wa Billgates kutembelea Kenya.
Sauti Soul walipata nafasi kuperfom jukwaa moja na mastaa wakubwa wa muziki ikiwemo Beyonce, Common, Ed sheran, coldplay, na wengine wengi kwenye Tamasha la ‘Global Citizens’,
Credit;Teamtz.com
No comments:
Post a Comment