Friday, November 20, 2015

Adele akanusha kuwa aliwahi kutolea nje ombi la kufanya collabo na Beyonce

Muimbaji wa ‘Hello’ Adele amekanusha taarifa kuwa aliwahi kutolea nje ombi la  Beyonce kufanya nae colabo japo alimuomba kwa mwaka mzima.
Adele amekanusha taarifa hiyo iliyotolewa na jarida la ‘ Heat’, amesema kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa Beyonce na hawezi kufikia hatua ya kumkosea heshima kiasi icho

“There’s a rumor going round that I turned Beyonce down. Just to clear up, I would never be so disrespectful as to do. I’d never disrespect her like that, I’m such a fan, oh my god!”  alisema Adele kwenye mahojiano aliyofanya Jumatano ya wiki hii.
Hii ndio taarifa  iliyotolewa na Heat Magazine
“Bey has been asking Adele for a year to join forces,’ an alleged source told Heat magazine. ‘She went into the studio with Adele at the end of last year and tried to convince her to collaborate on a track. Adele turned down the offer, so now Beyonce is putting the song on her new album instead, which everyone is saying will drop before the end of the year.” 

No comments: