Friday, November 20, 2015

Nikk Wa Pil ametaja Ma Rapa wake 10 bora Wa Muda wote Tanzania, Hawa hapa

Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la WEUSI Nikk Wa Pili kupitia page yake ya Instagram, ametaja Ma Rapa wake 10 bora Wa Muda wote Tanzania, Hawa hapa

TOP TEN MC' Of All TIMES....TZ
1. SUGU
2. PROFESSOR JAY
3.NGWEA
4. JOHMAKINI
5. FA
6.Fid
7.AY
8. LORD IZ
9. JAY MO
10.nikk wa pili.

No comments: