
muongozaji aliyejikusanyia sifa Afrika, Justin Campos. Mke wa Justin, Candice, amepost picha ya screeshot kwenye Instagram kutoka kwenye kile kinachoonekana ni video ya wimbo huo uitwao Toba na kuandika: Something Awesome coming!!!
Kwenye picha hiyo Shaa anaonekana akiwa amejichora hina ya kutosha.
Yeye mwenyewe ameweka picha mbalimbali kama hizo kwenye Instagram bila kuandika chochote.
No comments:
Post a Comment