Friday, November 20, 2015

Dangote aongoza orodha ya Forbes ‘ Africa’s 50 Richest People’, Dewji ashika namba 21

 
Forbes imetaja orodha ya Matajiri 50 wa Afrika ‘2015 Forbes List of Africa’s Richest people’ na mwekezaji namba moja wa Nigeria, Aliko Dangote ameshika namba moja akiwa na kiasi cha Dolla Billion 16.5 kupitia biashara yake ya cement, sukari na unga.

Aliko Dangote
Mohamed dewji ameshika namba 21 Afrika nzima na namba moja kwa Tanzania akiwa na kiasi cha dolla Billion 1.1 na Rostam Aziz ameshika namba 25 kwa Afrika nzima na namba 2 kwa Tanzania akiwa na kiasi cha Dolla Million 900.
12345678910

No comments: