Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga amewasili kwa mara ya kwanza nyumbani kwa Akon, Marekani.
Mayunga yupo Marekani kwa ajili ya kurekodi wimbo na Akon, kushoot video ya wimbo huo na kupata hiyo mentorship (Maunzo ya kusimamia kazi zake na uhusiano kama msanii).
No comments:
Post a Comment