Tuesday, November 3, 2015

Baraka Da Prince na Young Killer kuifungu rasmi show ya Mtikisiko 2015 mkoani Songea


Show ambayo haina mpinzani ukanda wa nyanda za juu kusini iliyopewa na kubatizwa jina la mtikisiko itaanzaia kuleeee Songea na kuwadondosha mastaa kibao wakiongozwa na baraka da prince pamoja na

 
Msodoki Young Killer pale viwanja vya majimaji Stadium siku ya jumamosi ya tarehe 14.11.2015 ikipewa nguvu za kutosha na Tigo pamoja na Club laparte na mukoba bank plc, Endelea kuwa nasi ili kukupa nyu nyuz za mtikisiko2015tumefika.

No comments: