Tuesday, November 10, 2015

Hutoamini kiasi anacholipwa kinyozi wa Kanye West

 
Kanye West ni mtu anayependa fashion japo watu wengi bado hawajaelewa huo upande mwingine wa vipaji vyake, lakini ni upande anaowekeza pesa nyingi.


Hivi karibuni gharama za saloon za Kanye West zimewekwa wazi na imetajwa kuwa anamlipa kinyozi wake dola 500 kwa wiki ambayo ni kama milioni moja na laki 1 za Tanzania.
Kanye West anamlipa kinyozi wake Ibn Jasper dola $182,500 kwa mwaka ambazo ni kama milioni 400 za Tanzania kwa mujibu wa jarida la Complex.

No comments: