Mpenzi wa zamani wa 50 cent, Vivica A. Fox ameibuka na kudai mpenzi wake huyo wa zamani ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja.
Akihojiwa kwenye kipindi cha Watch What Happens Live kuhusiana
na 50 cent kuipondea tamthili ya Empire kwa kupoteza idadi kubwa ya
watazamaji kwasababu ya kupromote mapenzi ya jinsia moja,
mwanadada huyo
alijibu “You know, the pot calling the kettle black is all I’m sayin’.” huo
ni msemo wenye maana ya kuwa mtu anakufananisha au anakuita kitu fulani
( huwa tusi) ambacho na wenyewe wapo hivyo, kwahiyo mwanadada huyo
alimaanisha kuwapondea Empire kwasababu ya ushoga wakati hata yeye ni
shoga.
Hata hivyo kama kawaida yake, 50 cent huwa hachelewi kujibu, kupitia
Instagram 50 cent aliweka picha ya mwanadada huyo na kuandika “Oh No!!!, Now she thinks I’m gay because I let her lick my Ass. LMAO. Wait,I didn’t want her to,she forced me, my hands were tied. 50 shades of grey ”
Mbali ya kumuita rapper huyo shoga, Vivica alitumia Cover la jarida
la XXL kama kithibisho, kwenye Cover hilo, 50 cent alipozi na Soulja boy
Soulja Boy na yeye, ameamua kumjibu, ameandika “Everybody
hit up this cougar.. she’s single & ready to mingle..
1-8000-GrannyDesperatedForAttention exetension I’mWashed up”
No comments:
Post a Comment