napozungumzia wadau wa muziki huwezi ukawaweka mbali DJs coz ni watu
wenye ukaribu mkubwa kwenye Tasnia ya hiyio. Hapa leo camera yetu
imeangazia kwa DJ wa kitanzania ambaye ni miongoni kati ya Ma- DJ wanao
fanya vizuri,kufuatia jitihada zake za kikazi, yaani hapa tunamzungumzia
DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha Wakilisha
cha Maisha Magic-DSTV, kama unakumbuka mwaka jana 2014 alichaguliwa
kwenda kuwapagawisha washiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA)
ambapo Idris ndipo alipoibuka na ushindi.
Akipiga stori na mwandishi wetu DJ Tass amefunguka mambo mengi
kuhusiana na safari ya u-DJ katika Maisha yake,ushauri,faida,
Changamoto, pia mambo yanayo wakabili DJs kwenye ndoa zao na Malengo
yake hapao baadaye.
No comments:
Post a Comment