Monday, November 9, 2015

Nyimbo na Videos ntakazoachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia – Diamond Platnumz

Mshindi pekee wa Afrika wa Tuzo ya ‘MTV EMA Best Worldwide Act Africa/India’ Diamond Platnumz amesema video na nyimbo atakazo ziachia mwaka huu zitakuwa ni historia kwenye mziki wake na itabaki kumbukumbuku hadi atakapo zikwa.
 
Diamond ameandika maneno hayo kupitia mtandao wa Twitter ambapo amewataka watu wahifadhi post hiyo, ameandika “Nyimbo na Videos nnazoenda kuachia mwaka huu, zitakuwa ni Historia na Kubaki kumbukumbu hadi siku ntapozikwa….
 Diamond tayari anacollabo kubwa za kimataifa ikiwemo aliyomshirikisha Ne-yo, Psquare na Mafikizolo ambayo alisema itashutiwa mwezi huu.

No comments: