Sunday, November 8, 2015

Picha: Justin bieber amzungumzia selena Gomez, picha za utupu na Kylie Jenner kwenye toleo jipya la Billboard

zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuachia Album yake mpya ‘Purpose,’ Justin bieber amecover toleo jipya la jarida la Billboard, muimbaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amezungumzia kuvuja kwa ppicha
 
zake za utupu, mpenzi wake wa zamani Selena gomez na Mdogo wa Kim kardashian,  Kylie jenner na mengine

bb34-justin-bieber-cover-2015-billboard-510
Kuhusiana na kuvuja kwa picha zake za utupu ambazo zilipigwa bila ridhaa yake mwenyewe Justin bieber amesema ulikua ni uvamizi wa faragha yake, lakini hata baba yake hajajali sana japo baba ni baba
“I do feel the photo was an invasion of my privacy. I felt super violated. My dad made light of it, but I don’t think that’s sick and twisted. It was funny. Dads are going to be dads.”  Aliongeza “I was scared. I first saw the one with the black bar over it. I was like, ‘Oh, my God. I just got out of the water. Shrinkage is real .. That’s as big as she gets.”

Kuhusiana na Mpenzi wake wa zamani Selena gomez, Justin bieber amesema anajivunia kuona mafanikio yake kwasasa na amedai kuwa unapompenda mtu ata kitu kikija kati yenu upendo utabaki pale pale
“I’m proud of the woman she is today…When you love someone that much, even if something comes between you, it’s a love that never really dies.”

Kuhusiana na rafiki yake Kylie jenner Amesema “Look at her world: She has been living on TV since she was a kid. Every time she’s looking around she sees a camera, and that’s affecting how she’s thinking and how she’s perceiving people and why she has to do certain things … Situations that happen taint your mind, especially in this industry. Especially for girls.”
Hizi ni picha za jarida hilo





No comments: