Shirikisho la soka la uingereza latupilia mbali rufaa ya Mourinho
Shirikisho la soka la uingereza
limeitupilia mbali rufaa ya kocha wa chelsea Jose Mourinho aliyoikata
kupinga kufungiwa kuingia uwanjani kesho na kulipa faini ya pauni
milioni hamsini.
Alipewa adhabu hiyo baada ya kusema kuwa marefa walikuwa wanaogopa kuipa Chelsea penalty ndiyo maana akafungwa na Southampton.
Morinho ataikosa mechi yao ya kesho dhidi ya Stock City.
No comments:
Post a Comment