Kupitia Twitter AKA amewajibu wanaouliza lini atafanya collabo za kimataifa, amesema kufanya collabo na Diamond, Wizkid au Burna boy ni kufanya collabo za kimataifa
AKA ameashiria wazi kuwa tayari anacollabo ndani na Diamond, Wizkid na Burnaboy ambaye tayari wameshirikiana kwenye baadhi ya nyimbo.
AKA alikuja Tanzania mwezi wa tano mwaka huu kwa ajili ya ‘Zari all white party’ na aliingia studio na Diamond na Joh Makini ambaye tayari wimbo umetoka.
No comments:
Post a Comment