Thursday, November 19, 2015

Wasanii na Dj’s wa Afrika kusini waungana kutengeneza brand yao ya Headphones ‘Rocka’

Wasanii na Dj’s wa Afrika kusini  Khuli Chana, DJ Zinhle, DJ Tira, Mi Casa, Danny K, DJ Euphonik na Aka wameungana kwa pamoja kutengeneza brand ya headphones zao walizozipa jina la ‘Rocka’.
Bidhaa hizo ambazo tayari zimeingia sokoni zipo kwenye collection tofauti kulingana na kila mmoja ya wasanii hao
phones
Bidhaa hizo ni pamoja na Heaphones maarumu kwa ajili ya Madj, Headphones za kawaida na Earphones.

“Our headphones and earphones have been produced to the highest international standards incorporating 7 of South Africa’s hottest music icons. From the uber cool Danny K to the word master Khuli Chana, the musically mesmerizing Mi Casa, to the sexy stylish Dj Zinhle and the bass dropping DJ Tira, DJ Euphonik and Aka  . 2 DJ headphones, 2 normal headphones and 3 earphones were designed in conjunction with these incredible artists encapsulating everything that they would want in a headphone or earphone.” 
aka
micasa

No comments: