Diamond Atajwa Kuwania Tuzo za MAYA 2016 za nchini Nigeria >>>>>>
Diamond Platnumz ambaye kutokana na kutajwa
mara kwa mara kuwania tuzo mbalimbali wanamuita ‘Mondi Bin Awards’,
ametajwa kuwania MOREKLUE ALL YOUTH AWARDS 2016 kwa kifupi MAYA
Awards
za nchini Nigeria , ikiwa ndio nomination yake ya kwanza kwa mwaka huu
2016. Kwenye kipengele cha African Music Act Diamond anawania pamoja na
wasanii wengine wenye majina makubwa Afrika akiwemo, Wizkid, Sarkodie,
Fuse ODG, Davido, AKA, Olamide na Cassper Nyovest.
Tuzo za MAYA zitatolewa January 31, 2016 jijini Lagos, Nigeria.
No comments:
Post a Comment