Saturday, April 9, 2016

Kings fm wajisogeza jirani zaidi kwa wasikilizaji wao kwa kufanya hivi


 

Habari yako ‪#‎MchiziWangu‬, Shabiki, Msikilizaji Wa Kings FM, Leo Tunakupa Njia Mpya Na Rahisi Zaidi ya Kuwa Karibu na Radio Yako. Ungana Nasi Katika Group La Whatsapp Kwa Kuweka Namba Yako Unayoitumia Kwenye Kuchat. Tutakuadd Ili Kupeana Fursa Za Kutosha Kwa Haraka Zaidi Pamoja Na
Kuwa Wa Kwanza Kupata Habari Za Uhakika.

Unachotakiwa Kufanya Ni Kusave Namba Hii 0629 193 897 Kwenye Simu Yako Kisha Tuma Ujumbe Kwenye Whatsapp Ukiweka Na Jina Lako Ili Tukuadd.
Wewe Ndiye Mchizi Wetu, Jiunge Nasi Sasa. Waambie na Washkaji.
‪#‎Angalizo‬: Namba Hii Ni Kwa Matumizi ya Whatsapp Pekee.
Vigezo Na Masharti Kuzingatiwa.

No comments: