Msanii Maarufu wa Hip Hop Nchini
Tanzania ROMA MKATOLIKI, Hivi Majuzi Aliamua Kufunga Ndoa na Mpenzi
wake wa Longtime ambaye Pamoja Wana Mtoto Mmoja. Harusi hiyo
ilihudhuriwa na watu
mashuhuri ikiwemo wasanii wenzake Kama Vile KALA,
DAYNA Miongoni Mwa Wengine Kibao. Ndoa imefungwa nyumbani kwao Tanga na
ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016. Hizi Hapa ni
Baadhi Ya Picha za Harusi.
No comments:
Post a Comment