Tuesday, June 7, 2016

Linah aelezea mahusiano yake na Billnass na promo analompa Instagram.

Bongo fleva Diva ametoa maelezo kuhusu mahusiano yake na rapa wa Chafu Pozi ‘Billnass’ ambaye hivi karibuni ametoa video mpya ya wimbo huo na imewekwa kwenye Bio ya Linah ya Instagram.

Ni mara chache unakuta #Bio ya Instagram ya msanii imewekwa video ya mwanii mwingine huku msanii huyo ana video pia.
Linah anasema “Mimi na Billnass ni washkaji tu, Ni kupeana ushirikiano tu kama wasanii na marafiki, sio mimi tu nimefanya hivyo ata watu wengine maarufu kama Petit Money naye amefanya hivyo,lakini pia hata Weusi wanampa promo V Money“.
linah

No comments: