Monday, June 6, 2016

Wimbo niliomshilikisha Raymond Utakua ni moto wa Kuotea mbali asema Diamond Platnumz

Diamond Platnumz ameendelea kuwapa kipaumbele wasanii walio chini ya label yake ya WCB ambao ni pamoja na Harmonize, Raymond, Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen.
Raymond na Diamond
Kupitia akaunti yake ya Instagram, staa huyo amethibitisha kuwa kuna kolabo inakuja kati yake na Raymond ambayo anadai anaipenda zaidi.
diamondplatnumzClick the link in @rayvanny ‘s BIO to Download his brand new Track #NATAFUTAKIKI …BTW, Ukiacha Collabo nlizofanya nje….. nafkiri Ngoma nilomshirikisha @rayvanny ndio inatawala sana kwenye Speaker za Gari yangu! ðŸ’¥ðŸ˜·ðŸ”«
Diamond na Raymond

No comments: