Jibu la Vanessa Mdee kuhusu uhusiano wake na Jux kwenye kipindi cha The Trend kinachorushwa na NTV ya Kenya litakuacha na maswali mawili mawili.
Muimbaji huyo wa ‘Niroge’ aliamua kukwepesha kumtaja jux baada ya kuulizwa na mtangazaji wa kipindi icho Larry Madowo kuhusu uhusiano kwasasa, Vee alidai kuwa amejikita zaidi kwenye muziki wake na ndio ana uhusiano nao kwasasa ,
“I’m saying am dating my music, I’m focusing on my carrier” alijibu kwa kifupi.
Pia Vee Money alidai kuwa hana mpango wowote wa kufunga ndoa au kuwa na mtoto hivi karibuni,
“Not quite yet, its not my thing” Vee Money alifunguka “I guess my focus, my number one focus is on you know breaking this records”
No comments:
Post a Comment