Thursday, August 4, 2016

Jux: Msanii pekee nnayeweza kulipia collabo yake ni Beyonce


 Kama unasubiri collabo ya Jux na msanii wa nje basi unaweza anza kumfikilia Beyonce.

Jux amefunguka kuwa yupo tayari kumlipa Beyonce ili apige naye collabo
Beyonce Knowles arrives at TIDAL X: 1020 Amplified by HTC at the Barclays Center on Tuesday, Oct. 20, 2015, in New York. (Photo by Evan Agostini/Invision/AP)
“Msanii ambaye naweza nikalipia collabo yake ni Beyonce” Jux ameiambia FahamuTv “Inaweza kuwa collabo inayoweza nipeleka sehemu flani kwasababu itakuwa na impact kubwa, ni mtu ambaye ana fanbase kubwa anaangaliwa sana na anaweza pia kuimba na kimuziki yupo vizuri”
Jux amesema sabau kubwa ya collabo ni kumfikisha sehemu fulani na kutanua zaidi muziki wake.

No comments: