Thursday, August 4, 2016

KINGS FM RADIO 104.3 Njombe Tanzania Inatangaza nafasi moja (1) ya kazi kwa CHEIF EDITOR (Mhariri Mkuu) wa Radio.

KINGS FM RADIO iliyoko Njombe Inatangaza nafasi moja (1) ya kazi kwa CHEIF EDITOR (Mhariri Mkuu) wa Radio.
SIFA *Awe na elimu ya uandishi wa habari kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali kuanzia ngazi ya Certificate.
*Awe kwenye kazi ya uandishi wa Habari na uzoefu wa miaka kuanzia miwili (2 years experience).
*Awe na uzoefu kwenye kazi ya uhariri wa habari za RADIO (Electronic Media).
*Awe na uelewa mzuri na masuala ya uongozi.
*Asiwe na rekodi ya utendaji mbovu kazi kutoka kwa waajiri/muajiri wake wa awali.
*Umri usizidi miaka 35.
*Awe tayari kujifunza.

Maombi yatumwe kwa barua pepe.
kingsfmtz@gmail.com na
recruitment@kingsfm.co.tz
NOTE: Ambatanisha CV zako kwenye barua yako.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 August 2016.

No comments: