Wednesday, September 7, 2016

Exclusive Beyonce asitisha ‘Formation World Tour’ baada ya madaktari kumshauri apumzishe sauti yake

Beyonce amesitisha ziara yake ya muziki ‘Formation World Tour’ ili kupumzisha sauti yake.

Queen Bey amesogeza mbele show ya  New Jersey iliyotakiwa kufanyika Sept. 7 hadi Oct. 7 baada ya madaktari kumshauri apumzishe sauti yake kabla ili kuendelea na ziara hiyo.
beyonce-slayHii ni mara ya pili, Beyonce anasogeza mbele show yake, Miezi michache iliyopita alisogeza mbele tena show yake ya Nashville ambayo itafanyika Oct. 2

No comments: