Mabao mawili ya Sergio Kun Aguero dhidi ya Chelsea yamtangazia Ufalme ndani ya Manchester City
Mabao mawili ya mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero limemfanya mchezaji huyo kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 201 katika historia ya klabu hiyo.
Jana Aguero alitupia mabao mawili kwenye mchezo wa ngao ya Hisani dhidi ya Chelsea ambapo waliibuka na ushindi wa goli 2-0 .
Aguero kwa sasa anakuwa na goli 200 ambapo anakuwa amemuacha mkongwe aliyekuwa anashikilia rekodi hiyo Erick Brook mwenye goli 177.
No comments:
Post a Comment